KHADIJA KOPA KUDONDOSHA BURUDANI KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE LAKE FM MWANZA.
Ni Malkia wa taarabu Tanzania, Khadija Kopa, atadondosha burudani kali#Live kwenye usiku wa Mshike Mshike ya 102.5 @lakefmmwanza ndani ya Villa Park Resort Jijini Mwanza, huku akiwa na bendi yake. Ni...
View ArticleHAFLA MCHAPALO YA MIAKA 71 YA UMOJA WA MATAIFA YAFANA
Ziafuatazo ni picha za hafla mchapalo (Cocktail Party) ya kukata na shoka ya kusheherekea miaka 71 ya Umoja wa Mataifa tangu ulipoanzishwa iliyofanyika nyumbani kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja...
View ArticleSHINDANO LA MISS TANZANIA 2016 JIJINI MWANZA KUWA BORA ZAIDI
Leo Oktoba 19, 2016 Kamati ya Shindano la Maandalizi ya Miss Tanzania 2016 imesema Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29,10, 2016 katika viunga vya Rock City Jijini Mwanza, litakuwa bora...
View ArticleTAARIFA KUTOKA KWA JIMMY MASTER MUVI YA ‘THE FOUNDATION’ IPO MTAANI
Nyota wa filamu za Action hapa Tanzania Jimmy Mponda au Jimmy Master, mkongwe maarufu kama J.Plus hatmaye ametimiza kilicho kuwa kinahitajika mtaani, msanii huyo ametoa taarifa njema kwa fans na wadau...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA NYAMAGANA ATOA SIKU 7 UTEKELEZAJI WA MAADHIMIO YA WASANII...
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Mary Tesha (kushoto), akipokea cheti cha utambuzi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fesso (kulia), wakati wa ufungaji wa Mafunzo kwa...
View ArticleVijimambo ya VOA: Mwanamke ajiuza pamoja na nyumba yake
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amepata mnunuzi wa nyumba yake pamoja naye mwenyewe baada ya kuweka tangazo mtandaoni kwamba yeyote ambaye angenunua nyumba yake, angepata bakshishi kwa sababu angekuwa...
View ArticleMWANADADA ANAYEKUJA JUU KWA KASI “MALAIKA” KUWARARUARARUA MAREKANI
BAADA YA KUPIGA SHOW AKIWA NA WANAMUZIKI SAUTISOL KUTOKA KENYA NA KUACHA ZOGO KUBWA NDANI YA MARYLAND MALAIKA SASA KUWARARUA HOUSTON TEXAS IJUMAA HII YA THANKS GIVING ! FOR BOOKING PIGA NAMBA ZASIMU !
View ArticleModo Sanchoka Atembelea Global TV Online
Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka yeye hupenda kujiita Sanchi akiwa katika pozi alipotembelea Global TV Online jana katika Ofisi ya Global...
View ArticleWYRE MUSIC
Kevin Waire better known as Wyre Da Love Child is a Kenyan R&B and reggae musician from known from the some of the most popular groups in music history- Necessary Noize and East African Bashment...
View ArticleMWIMBAJI MAARUFU WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA MWANZA AFUNGA PINGU ZA MAISHA
Mbali ya kuwa Sikukuu ya Krismasi kwa Wakristo duniani, pia jana Disemba 25,2016 ilikuwa siku ya furaha kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Bwana harusi Mathew Akrama Rwekila na Bibi harusi Agnes Martine...
View ArticleWAKRISTO WALIVYOSHIRIKI IBADA YA MKESHA WA KRISMASI JIJINI DSM
Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akisalimiana na muumini wa kanisa hilo Usahrika wa Azania Front, Violet Muro baada ya kumpatia zawadi ya ibada...
View ArticleILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA WADAU GODFREY SINYANGWE NA ESTHER KILUMA JIJINI...
Jana Disemba 24, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa Bwana Godfrey Sinyangwe (kushoto) pamoja na Bi.Esther Kiluma (kulia), baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la Saint Nicholas Jimbo Kuu la...
View ArticleHARUSI YA WADAU JACKSON BINAGI NA MONICA SYAGA WA TARIME MKOANI MARA YAFANA.
Leo Disemba 29, 2016 ni siku ya furaha kwa ndugu, jamaa na marafiki wa kijana Jackson John Binagi, wa Kenyamanyori Tarime mkoani Mara (wa tatu kushoto),aliyefunga ndoa na Bi.Monica Syaga wa Mogabiri...
View ArticleMuunge mkono Mr Tz #TeamJumbe
Kama wengi mnavyojua mimi ni mgombea katika shindano la Mr & Ms ASA, Maryland, litakalofanyika Jumamosi Januari 28, 2017 katika chuo kikuu cha Bowie State. Huku siku ya shindano lenyewe ikiwa...
View ArticleAzam inasubiri Simba, Yanga, fainali Mapinduzi Cup 2017
Club ya Azam FC imefuzu hatua ya fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup baada ya kuifunga Taifa Jang’ombe kwa goli 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza iliyochezwa kuanzia saa 10:15 jioni Frank...
View Article